Mukhtar – Shuja Aliyelipiza Kisasi dhidi ya wauaji wa Imam Husain (AS) hapo Karbala (61-67AH) – Kiswahili Language

$1.34

Mukhtar al Thaaqafi aliyelipa kisasi kwa kupigana na kuwaua wale vinara wote walioshiriki katika mauaji ya mjukuu wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) Imam Husain pale Karbala. Kutokana na kazi yake maalum ya kulipiza kisasi hicho zilizuka habari nyingiza kupotosha kuhusu maisha yake kwa wakati ule, kwa mfano, watu walidai alitoka katika familia duni isiyostahiki kuheshimika n.k., bali yeye alitoka katika kabila tukufu la Banu Hawazin, ambapo pia walitoka watu watukufu kama utakavyoona ndani ya kitabu hiki Brand: Al Itrah Foundation – Dsm Product Code: Mukhtar – Kiswahili Language Availability: In Stock

Category:
Brands: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Description

Mukhtar al Thaaqafi aliyelipa kisasi kwa kupigana na kuwaua wale vinara wote walioshiriki katika mauaji ya mjukuu wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) Imam Husain pale Karbala. Kutokana na kazi yake maalum ya kulipiza kisasi hicho zilizuka habari nyingiza kupotosha kuhusu maisha yake kwa wakati ule, kwa mfano, watu walidai alitoka katika familia duni isiyostahiki kuheshimika n.k., bali yeye alitoka katika kabila tukufu la Banu Hawazin, ambapo pia walitoka watu watukufu kama utakavyoona ndani ya kitabu hiki.

Author Dkt M H Datoo
Cover Type Paper Back
ISBN 978 9987 17 059 3
Pages 106
Translated By Umm Zahra Gulbanu Musa
Year Published 2014
Publisher Al-Itrah Foundation

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mukhtar – Shuja Aliyelipiza Kisasi dhidi ya wauaji wa Imam Husain (AS) hapo Karbala (61-67AH) – Kiswahili Language”

Your email address will not be published. Required fields are marked *